HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 19, 2014

JENGO LAPOROMOKA ZANZIBAR

Wananchi na wapita njia wakishangaa jengo lililoanguka kwenye Mjimkongwe wa Zanzibar eneo la Shangani karibu na maskani ya "JAWS CORNER" jana asubuhi. Hakuna taarifa za vifo wala majeruhi kutokana na jengo hilo kutokaliwa na watu kwa takribani miaka 10 iliyopita. Picha na Donald Martin.
 Askari Polisi wakikagua jengo moja ambalo limeanguka kwenye maeneo ya Shangani hatua chache kutoka kijiwe maarufu cha "JAWS CORNER" jana asubuhi. Jengo hilo lilikuwa halikaliwi na watu kwa takribani miaka 10 tangu lilipodata kwa wakati huo inasemekana halikusababisha kifo wala majeruhi zaidi ya kuziba njia ya wapita njia. Picha na Donald Martin.
Askari Polisi wakisaidiana na raia kuweka uzio kando ya jengo lililoanguka eneo la Shangani kwenye Mjimkongwe wa Zanzibar karibu ya kijiwe maarufu cha "JAWS CORNER" jana asubuhi.

No comments:

Post a Comment

Pages