1.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya
Mashekhe na wageni waliohudhuria hafla ya kisomo maalum cha Kumshukuru Mwenyezi
Mungu baada ya kufanyiwa upasuaji na kurejea nyumbani salama kilichofanyika
katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Freddy Maro)
Mjukuu wa Rais, Ayman Ridhiwani Kikwete akicheza kwa furaha
wakati Babu yake Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru wageni na Mashekhe
waliohudhuria hafla ya kisomo maalum kilichofanyika katika viwanja vya ikulu
jijini Dar es Salaam leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mjukuu wake
Ayman Ridhiwani Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya
kumalizika kisomo cha shukran kwa Mwenyezi Mungu kiklichofanyika ikulu jijini
Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment