Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein wa pili kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib
Bilal wa tatu kulia, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia na
Mjumbe wa Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi, wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati
maalum ya CCM kilichifanyiaka leo Januari 11, 2015 Ofisi kuu ya CCM
Kisiwandui Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa (kulia), akifungua kikao cha
Kamati Maalum ya CCM kilichokutana leo Januari 11, 2015 Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui mjini Zanzaibar. Katikati ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed
Gharib Bilal na Mjumbe wa
Halmashauri Kuu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal wa tatu kulia, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia
na Mjumbe wa Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi, wakiongoza wajumbe wa Kamati Maalum kusimama kwa dakika moja kumkumbuka
Marehemu Fatma Othman Ali aliyekua mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM aliyefariki
hivi karibuni, kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati maalum ya CCM
kilichifanyiaka leo Januari 11,2015 Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili kulia, akifungua kikao cha
Kamati Maalum ya CCM kilichokutana leo Januari 11, 2015 Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui mjini Zanzaibar. Wa tatu kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed
Gharib Bilal, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia na Mjumbe wa
Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. (Picha na OMR)


No comments:
Post a Comment