Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Uwekezaji Vitega uchumi Nchini (Cti) Dkt. Samuel M. Nyantahe wakati Ujumbe wa
Jumuiya hiyo uliomtembelea Makamu wa Rais kwenye Makazi yake Tunguu mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uwekezaji Vitega
Uchumi Nchini Dkt. Samuel M. Nyantahe akimkabidhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal baadhi ya ramani, wakati
Ujumbe wa Jumuiya hiyo uliomtembelea Makamu wa Rais kwenye Makaazi yake Tunguu
mjini Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja
na Wajumbe wa Jumuiya ya Uwekezaji Vitega uchumi Nchini (Cti) uliongozwa na
Mwenyekiti wake Dkt. Samuel M. Nyantahe wakati Ujumbe huo uliomtembelea Makamu
wa Rais kwenye Makaazi yake Tunguu mjini Zanzibar.




No comments:
Post a Comment