Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii ya
wamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani. (Picha na Ikulu)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge
wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakijumuika na wananchi katika kuukaribisha
mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani kwa Mashekhe wa Bagamoyo na wananchi kwa kumuandalia hafla ya kumuombea dua katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiomba dua pamoja na Mashekhe wa Bagamoyo na wananchi wakati wa hafla ya kumuombea dua katika mkeshawa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.
No comments:
Post a Comment