Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akitoa hutuba yake wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi
ujenzi wa Nyumba za Makaazi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) Vitongoji Wilaya ya Chake chake Pemba leo,ikiwa katika
sherehe za shamra shamra za miaka 51 ya mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar. (Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi wa Tanzania
Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba wakati alipofika katika Kambi ya
Ali Khamis Vitongoji Wilaya ya Chake Cahke Pemba leo akiwa katika ziara
maalum kuzindua miradi mbali mbali ya Maendeleo ikiwa ni katika shamra
shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa
Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba za Makaazi ya Wanajeshi wa Jeshi la
Wananchi wa Tanzania ka(JWTZ) katika Kambi ya Ali Khamis Vitongoji
Wilaya ya Chake chake Pemba leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akifungua pazia ikiwa kama ishara ya uwekaji wa jiwe la
msingi ujenzi wa Nyumba za Makaazi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) Vitongoji Wilaya ya Chake chake Pemba leo,ikiwa katika
sherehe za shamra shamra za miaka 51 ya mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar.








No comments:
Post a Comment