Kaimu Mmkurugenzi wa
Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha akimkabidhi
zawadi Khamis Mussa baada ya kuibuka mshindi wa kukimbia wakati wa
siku ya familia ya wafanyakzi wa mamlaka hiyo iliyofanyika katika
hoteli ya kunduchi beach jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania TCAA
wakishindana kukimbia kwenye ufukwe wa bahari ya hindi kunduchi beach
wakati wa siku ya family Day iliyowahusisha wafanyakazi na familia zao.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania TCAA
wakishindana kukimbia kwa kutumia magunia kwenye ufukwe wa bahari ya
hindi kunduchi beach ikiwa ni sehemu ya shamlashamla ya family day.
Kaimu
Mmkurugenzi wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Charles
Chacha akishuhudia wafanyakazi wa mamlaka hiyo wakishindana kuvuta
kamba wakati wa family Day iliyofanyika katika hoteli ya kunduchi beach
jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania wakishindana
kusakata kandanda wakati wa family day iliyofanyika Kunduchi Beach Dar
es Salaam.
Watoto
wa wafanyakazi wa Mamlka ya usafiri wa Anga Tanzania TCAA, wakishindana
kukimbia wakati wa siku ya familia ya mamalaka hiyo iliyofanyika kwenye
ufukwe wa Kunduch Beach Dar es Salaam.
Baadhi ya
wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania TCAA wakishindana
kukimbia kwenye ufukwe wa bahari ya hindi kunduchi beach ikiwa ni
sehemu ya shamlashamla za family day iliyowahusisha wafanyakazi na
familia zao.
Wafanyakazi
wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) wakishindana kuvuta
kamba wakati wa family Day iliyofanyika katika hoteli ya kunduchi beach
jijini Dar es Salaam.




No comments:
Post a Comment