HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 28, 2015

SIMBA YAITAFUNA TANZANIA PRISONS, YAIFUNGA 5-0

 Beki wa Simba, Mohamed Hussein akiwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
 Beki wa Tanzania Prisons akichuana na mshambuliaji wa Simba.
Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Tanzania Prisons 5-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mohamed Hussein wa Simba akiwania mpira na beki wa Tanzania Prisons, Lugano Mwangama.
Golikipa wa timu ya Tanzania Prisons, Mohamed Yusuf akijaribu kuokoa mpira uliopigwa na mshambuliaji wa Simba, Dan Sserunkuma.
 Kocha wa Simba, Goran Kopunovic akishangilia goli lililofungwa na Emmanuel Okwi.
Shabiki wa Simba akitolewa jukwaani baada ya kuishiwa nguvu.
Huduma ya Kwanza.
 Mshambuliaji wa Simba, Dan Sserunkuma akimtoka beki wa Tanzania Prisons, Nurdin Chona.
 Kocha wa Simba, Goran Kopunovic akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.
 Kikundi cha Simba cha ushangiliaji kikichagiza.

No comments:

Post a Comment

Pages