HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 26, 2015

SIMBA ILIPOINYOA NDANDA FC 3-0


 Ramadhani Singano akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Ndanda FC katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0. (Pichana Francis Dande)
 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimiliki mpira mbele ya beki wa Ndanda FC.
 Mchezaji wa Ndanda FC akimiliki mpira.
 Wachezaji wa Simba wakishangilia.
Kipa wa Ndanda FC akijaribu kuokoa moja ya hatari langoni mwake.

No comments:

Post a Comment

Pages