Spika
wa Bunge, Job Ndugai (katikati), akiwa na Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia
Ackson (kushoto) na Mbunge wa Hai mkoani Kilimanjaro (Chadema), Freeman Mbowe,
kabla ya kuanza kwa kikao kilichowakutanisha wajumbe wa Kamati ya Kanuni za
Bunge na Spika, katika Ofisi za Bunge leo jijini Dar es Salaam. (Picha na
Ofisi ya Bunge).
Mbunge wa Hai (Chadema),
Freeman Mbowe akimueleza jambo Naibu Spika wa Bunge, Dk.
Tulia Ackson kabla ya kuanza kwa kikao cha wajumbe wa Kamati ya Kanuni na Spika.
Spika wa Bunge, Job
Ndugai akiongoza kikao cha wajumbe wa kamati ya kanuni ya bunge.
No comments:
Post a Comment