Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb) akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Tija la Taifa (NIP) Bw. Novatus S. Massao alilitembelea Shirika hilo Januari 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge;
Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Bibi Jenista Mhagama
(Mb) akiweka saini kwenye kitabu cha wageni alipotembelea Shirika la Tija la Taifa (NIP).
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Tija la Taifa (NIP) wakimsikiliza Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge;
Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama (Mb) hayupo pichani wakati wa ziara yake katika shirika hilo.
No comments:
Post a Comment