Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa zawadi za vitu mbalimbali kwa vituo 6 vya kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu jijini Dar es Salaam, leo ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Sikukuu ya Eidd el Fitr. Zawadi hizo zimetokana na fedha zilizopatikana katika Tamash la Pasaka.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama (kulia), akimkabidhi mlezi wa Kituo
cha Kulelea watoto Yatima cha Irshaadi, Juma Kaseja, sehemu ya msaada wa vitu
mbalimbali kwa ajili ya Sikukuu ya Eidd el Fitr, hafla hiyo ilifanyika jijini
Dar es Salaam
Baadhi ya watoto waliohudhulia hafla hiyo.
Msama akitoa zawadi za Sikukuu ya Eid el Fitr.
Watoto wakipokea zawadi.
Msama akigawa zawadi mbalimbali kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Msama akimkabidhi mtoto Fahari Haji vitu mbalimbali kwa ajili ya Sikukuu ya Eid el Fitr.





No comments:
Post a Comment