Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli
wakisali katika ibada ya Jumapili katika Kanisa la Bikira Maria Parokia ya
Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waamini wa kanisa Katoliki wa
Parokia ya Chato mara baada ya Ibada katika kanisa hilo Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihamasisha mchango wa ujenzi wa Kanisa
jipya la la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akisalimiana na na Padre wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Henry
Mulinganisa mara baada ya kuwasili kwenye kanisa hilo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono waamini wa Kanisa Katoliki
Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita hawapo pichani mara baada
ya kushiriki Ibada katika kanisa hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama
Janeth Magufuli wakimsikiliza Mchungaji wa Kanisa la Anglikana Chato Zacharia
Samson mara baada ya kuwasili katika kanisa hilo la Anglikana Chato Mkoani
Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiimba wimbo wa Amani pamoja na Kwaya ya
Kanisa la African Inland Church la Chato
Mkoani Geita mara baada ya kuwasili katika kanisa hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia Mwalimu wake wa zamani wa Shule
ya Msingi Chato Mkoani GeitaMwalimu Mkuu Mstaafu Jackson Nyamwaga mara baada ya kumuona wakati
akitoka katika Kanisa la African Inland
Church la Chato Mkoani Geita.
Shekhe
wa Bakwata Wilaya ya Chato, Hassan Issa Mnubi akiongoza dua ya kumwombea Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli pamoja na mkewe, Mama
Janeth Magufuli nje ya Msikiti wa Omar Bin-L-Khattab Chato mkoani Geita.
No comments:
Post a Comment