Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa
Mbeya, Amos Makalla baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe,
Mbeya Agosti 7, 2016 ambako Agosti 8, 2016 atahitimisha maonyesho ya
wakulima Nanenane. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakipokea heshima kutoka
kwa Skauti wa Mbeya baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Songwe Agosti 7,
2016 ambako Agosti nane atahitimisha maonyesho ya wakulima Nanenane.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
na Mkewe Mary wakifurahia ngoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa
ndege wa Songwe, Mbeya Agosti 7, 2016 ambako Agosti 8, 2016 Mheshimiwa
Majaliwa atahitimisha maonyesho ya wakulima Nanenane. Kushoto ni Mkuu wa
Mkoa wa Mbeya Amos Makla.
No comments:
Post a Comment