Kikosi cha Simba kilichoanza katika pambano lao na AFC Leopards ya Kenya. Simba ilishinda 4-0. (Picha na Francis Dande)
Msemaji wa Simba, Haji Manara akiwapungia mkono mashabiki wa Simba.
Mwenyekiti wa zamani wa Simba Mzee Hassan Dalali akimlisha keki mwanachama wa heshima wa Simba, Prof. Othman Kapuya.
Mzee Kilomoni akimlisha keki Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati wa tamasha la Simba Day.
Mzee Kilomoni ambaye aliwahi kuichezea Simba akikata keki wakati wa tamasha la Simba Day.
Mchezaji wa zamani wa Simba, Mzee Hamis Kilomoni akimlisha keki Naibu Waziri wa Afya, Dk. Hamis Kigangwala.
Twanga Pepeta.
Twanga Pepeta wakinogesha pambano la Simba na AFC Leopards ya Kenya.
Polisi akiwatuliza mashabiki wa Simba waliokuwa wakizozana na wale wa Yanga.
Laudit Mavugo akiruka vihunzi vya wachezaji wa AFC Leopards.
Laudit Mavugo akiwatoka mabeki wa AFC Leopards ya Kenya.
MO akihamasisha mashabiki wa Simba.
Mfadhili wa zamani wa Simba, Mohamed Dewji akishangilia wakati timu ya Simba ilipochuana na AFC Leorpads.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza kabla ya kuanza kwa mchezo huo.
Mshambuliaji wa Simba, Frederk Blagnen akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa AFC Leopards.
Wachezaji wa Simba wakishangilia goli lililofungwa na Ibrajim Ajib.
Mshambuliaji wa Simba, Frederk Blagnen akitafuta mbinu za kumtoka beki wa AFC Leopards, Joshua Mawela.

No comments:
Post a Comment