Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi katika Uwanja
wa Nsololo jimbo la Igalula Wilaya ya Uyui
mara baada yakuwasili leo August 12.2017 na kufanya mkutano wa hadhara
katika Wilaya ya Uyui Mkoa wa Tabora
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe wa
Halimashauri Kuu ya CCM Taifa na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Bwana Jackson Masome .walipo kutana katika mkutano
wa hadhara leo August 12.2017 katika Wiaya ya Uyui Tabora
Waziri yupo Mkoa wa Tabora kwziara ya Kikazi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Majaliwa
wakiwasalimia wananchi katika Uwanja wa Nsololo jimbo la Igalula Wilaya ya
Uyui mara baada yakuwasili leo August
12.2017 na Waziri Mkuu kufanya mkutano wa hadhara katika Wilaya ya Uyui Mkoa wa
Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment