Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa
Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Askari
mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) hawaonekani (pichani) katika
Kambi ya Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Magufuli ametoa maagizo kwa Kikosi hicho cha 95KJ kubeba Korosho zote
zitakazo nunuliwa na Serikali iwapo Wanunuzi wa Korosho hawatatii agizo la
Serikali ifikapo siku ya jumatatu saa kumi alasiri. PICHA NA IKULU
Amiri Jeshi Mkuu, Rais John Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania (CDF), Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kukagua magari hayo ya Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania Jenerali Venance Mabeyo
wakielekea kwenye viwanja vya Kambi ya 95KJ kukagua magari ya Kikosi hicho
ambayo yatatumika kubeba korosho katika mikoa ya Kusini iwapo Wanunuzi wa
Korosho hawatatii agizo la Serikali ifikapo siku ya jumatatu saa kumi alaasiri.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi ya Tanzania CDF Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kukagua magari
hayo ya Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimiana na Askari
mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) katika Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es
Salaam.
Amiri
Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania CDF Jenerali Venance Mabeyo
mara baada ya kukagua magari hayo ya Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke
jijini Dar es Salaam.
Amiri
Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Madereva wa Kikosi cha Usafirishaji cha Jeshi 95KJ ambao wapo
tayari kutekeleza maagizo ya Serikali baada ya siku ya jumatatu saa 10 alaasiri
iwapo Wanunuzi wa Korosho hawatanunua korosho zilizopo katika mikoa ya kusini.

No comments:
Post a Comment