Naibu Waziri,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary
Mwanjelwa (Mb) akipata ufafanuzi kutoka kwa Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Firimin
Msiangi kuhusu mifumo ya TEHAMA inavyofanya kazi katika utunzaji
wa kumbukumbu na nyaraka alipofanya ziara ya kikazi kuhimiza uwajibikaji katika
idara hiyo jijini Dodoma.
Naibu Waziri,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary
Mwanjelwa (Mb) akishiriki kutoa nakala ya nyaraka ili kuihifadhi katika mfumo
wa TEHAMA alipofanya ziara ya kikazi katika Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za
Taifa jijini Dodoma yenye lengo la kuhimiza uwajibikaji. Anayemsaidia kutoa ni Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Firimin
Msiangi.
Naibu Waziri,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary
Mwanjelwa (Mb) akishuhudia baadhi ya kumbukumbu na nyaraka zilizohifadhiwa
katika majalada kwa ajili ya rejea ya kiofisi alipofanya ziara ya kikazi katika
Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa yenye lengo la kuhimiza uwajibikaji
jijini Dodoma.
Naibu Waziri,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary
Mwanjelwa (Mb) akisisitiza namna bora ya utunzaji wa kumbukumbu na nyaraka za
serikali ili kuondokana na tatizo la uvujaji wa siri za serikali alipofanya
ziara ya kikazi kuhimiza uwajibikaji katika Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za
Taifa jijini Dodoma.
Naibu Waziri,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary
Mwanjelwa (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Idara ya Kumbukumbu
na Nyaraka za Taifa alipofanya ziara ya kikazi kuhimiza uwajibikaji katika
idara hiyo jijini Dodoma.
Naibu Waziri,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary
Mwanjelwa (Mb) akipata maelezo kutoka kwa
Mtunza Kumbukumbu Msaidizi, Bi. Joyce Maro juu ya kumbukumbu
zilizohifadhiwa katika Kituo cha Taifa cha Kumbukumbu, Idara ya Kumbukumbu na
Nyaraka za Taifa alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la
kuhimiza uwajibikaji jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment