HABARI MSETO (HEADER)


January 24, 2019

WAZIRI PROF. MBARAWA AAGIZA KUFIKIA MWEZI MEI WAKAZI WA KIBADA NA KIGAMBONI KUPATIWA MAJ

Waziri wa Maji na Umwagiliziaji Prof. Makame Mbarawa (wa kwanza kushoto) akipokea maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Mradi wa Kimbiji na Mpera Mhandisi Shiyenze (wa nne toka nne) Bunyese mara baada ya kutembelea katika kisima cha K-17, K-11 na K-3 ambavyo vipo katika hatua ya mwisho ili wananchi waweze kupatiwa maji safi na salama. Waziri wa Maji na Umwagiliziaji Prof. Makame Mbarawa akipata maelezo mafupi toka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Mamlaka ya Maji safi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Lydia Ndibalema (wa pili toka kushoto) juu ya mradi wa visima vya Kimbiji na Mpera uliopo Kimbiji, Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maji na Umwagiliziaji Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa wasimamizi pamoja na mkandarasi wanaosimamia miradi ya Mradi wa Kimbiji katika kisima cha K-17, K-11 na K-3 ambavyo vipo katika hatua ya mwisho ili wananchi waweze kupatiwa maji safi na salama.
Waziri wa Maji na Umwagiliziaji Pro. Makame Mbarawa akizungumza na wanahabari mara baada ya kumalizia ziara yake ya kutembelea mradi wa Kimbiji na Mpera katika kisima cha K-17, K-11 na K-3 ambavyo vipo katika hatua ya mwisho ili wananchi waweze kupatiwa maji safi na salama. Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.

No comments:

Post a Comment

Pages