Wafanyakazi
wa Benki ya NMB Kisiwani Pemba, wananchi na wateja wao wakiwa katika
sala ya pamoja, iliyofanyika Chake Chake kuelekea kwenye futari maalumu
iliyoandaliwa na Banke ya NMB kwa wateja wake
Ofisa
Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango, Ibrahim Saleh Juma (katikati) ,
akipata uji wakati wa futari maalumu iliyoandaliwa na benki ya NMB kwa
wateja wake, kulia ni meneja wa benk hiyo kanda ya Dar es Salam na
Zanzibar Badru Iddi na kushoto ni Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Shekh
Mahmoud Mussa Wadi, futari hiyo imefanyika Chake Chake Pemba.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salam na Zanzibar, Badru Idd, akichukua
futari maalumu iliyoandaliwa na benk hiyo kwa wateja wake Kisiwani Pemba
na kufanyika mjini Chake Chake
Baadhi ya wateja wa benki ya NMB na wananchi wa Kisiwa cha Pemba, wakichukua
futari maalumu iliyoandaliwa na Bank hiyo kwa wateja wake na kufanyika
mjini Chake Chake'.
Ofisa Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango, Ibrahim Saleh Juma (katikati),
akipata uji wakati wa futari maalumu iliyoandaliwa na benki ya NMB kwa
wateja wake. Kulia ni Meneja wa benki hiyo Kanda ya Dar es Salam na
Zanzibar, Badru Idd na kushoto ni Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Shekh
Mahmoud Mussa Wadi, futari hiyo imefanyika Chake Chake Pemba
Viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kusini Pemba, wakiongoza na
Kamanda wa Polisi Mkoa huo Hassan Nassir Ali wa pili kutoka kulia,
akifuatiwa na Kamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania 14KJ Khamis,
wakipata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa wateja wao na
kufanyika Mjini Chake Chake.
Baadhi ya wafanyakazi wa NMB, wateja wao na wananchi wa Kisiwa cha Pemba,
wakichukuwa futari maalumu iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wao
Kisiwani hapa.
Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB na wananchi akipata futari maalumu,
iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wao na kufanyika mjini Chake Chake.
Meneja wa Benki ya NMB Kisiwani Pemba, Ahmed Nassor, akitoa shukurani kwa
wananchi na wateja wao waliohudhuria futari maalumu, iliyoandaliwa na
Bank hiyo kwa wateja wao na kufanyika mjini Chake Chake
Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salam na Zanzibar Badru Iddi, akizungumzia juu
ya mikakati ya NMB kwa wateja wake mara baada ya kumalizika kwa futari
Maalumu iliyoandaliwa na benki hiyo na kufanyika mjini Chake Chake.
Ofisa Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba Ibrahim Saleh Juma,
akizungumza na wananchi na wateja wa NMB kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Pemba, mara baada ya kumalizika kwa futari maalumu iliyoandaliw
ana benki hiyo kwa wateja wao na kufanyka mjni Chake Chake. (Picha na Abdi Suleiman - Pemba).
No comments:
Post a Comment