HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 30, 2019

MAKAMU WA RAIS KAMPUNI YA MAFUTA YA SHELL AKUTANA NA WAZIRI WA NISHATI

MAKAMU wa Rais wa Kampuni ya Mafuta ya Shell, Bi. Clare Harris (wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani (katikati) mara baada ya kumaliza kikao chao jijini Dodoma hivi karibuni. Wengine ni Mtaalamu wa Madini wa Wizara hiyo, Bi. Neema Mwasha (kushoto), Mwenyekiti wa Shell Tanzania, Bw. Axel Knospe (wa tatu kushoto), Meneja Mkakati wa Biashara  Shell Tanzania, Bw. Ahmed Salim (wa tano kushoto) na Meneja wa  Shell Tanzania, Bw. Dirk Nevelsteen.

No comments:

Post a Comment

Pages