Naibu Rasi Taaluma Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Dk. Julius Mbuna, akifungua semina ya Utafiti na Sera ya Hati Miliki Ubunifu iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Meneja Uendeshaji Kitengo cha Hati Miliki Ubunifu (IPR) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Theodora Mwenegoha na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Huduma kwa Uma UDSM, Zamda George.
Naibu Rasi Taaluma Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Dk. Julius Mbuna, akifungua semina ya Utafiti na Sera ya Hati Miliki Ubunifu iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo Novemba 132, 2019.
Naibu Rasi Taaluma Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Dk. Julius Mbuna, akifungua semina ya Utafiti na Sera ya Hati Miliki Ubunifu iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo Novemba 13, 2019.
Kaimu Mkurugenzi Huduma kwa Uma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Zamda George, akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.
Washiriki wa semina hiyo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika semina hiyo.
Washiriki wa semina.
Meneja Uendeshaji Kitengo cha Hati Miliki Ubunifu (IPR) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Theodora Mwenegoha, akitoa mada juu ya Utafiti na Sera ya Hati Miliki Ubunifu.

Mhadhiri wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Dk. Sixberth Mlowe, akichangia mada katika semina hiyo.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Baraka Kanyabuhinya, akitoa mada katika semina hiyo.
Dk. George Shemdoe, akitoa mada katika semina hiyo.
Msajili Mwandamizi Mkuu wa Brela, Seka Kasera, akitoa mada kuhusu Usajili na Ulizni wa Miliki Bunifu (Intelectual Property Registration and Protection'.

Washiriki wakimsikiliza Msajili Mwandamizi Mkuu wa Brela, Seka Kasera, wakati akitoa mada kuhusu Usajili na Ulizni wa Miliki Bunifu (Intelectual Property Registration and Protection'.
Kaimu Meneja wa Idara ya Usajili na Ugawaji Mirabaha Cosota, Philemon Kilaka, akitoa mada katika semina hiyo.
Na John Marwa
Menaja Uendeshaji Kitengo cha Hati Miliki Ubunifu (IPMO, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM, Dk. Theodora Mwenegoha ametoa wito kwa Wahadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (Duce), kutumia mafunzo hayo yanayotolewa kwenye Semina ya Utafiti na Sera ya hati miliki ubunifu kutambua na kulinda haki bunifu wanazozalisha.
Ameyasema hayo leo Novemba 13, 2019 katika ufunguzi wa Semina hiyo chuoni hapo ambayo inatarajiwa kufanyika kwa siku tatu, ambapo ameeleza kuwa wanaendesha semina hiyo kuwapa muelekeo wa sheria ya hati miliki ubunifu, waweze kuzitambua wanapofanya kazi zao na wanapozitambua wafanye nini ili kulinda kazi zao.
“Sisi ni kitengo cha hati miliki ubunifu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ‘Itelectual Property Management Office’ kazi kubwa ya kitengo hiki ni kukusanya tafiti, kusaidia kutoa kinga ya ubunifu kwa wafanya kazi na wanafunzi wa chuo.
“Wito wangu kwa washiriki wa Semina hii, wafurahie mafunzo haya na elimu tunyayowapatia kwani ni mazuri, unapoongelea ugunduzi na uvumbuzi ni mambo muhimu sana hivyo wafurahie.” Ameongeza kuwa.
“Kubwa zaidi nawasihi kuyafanyia kazi mafunzo haya, maarifa watakayopata elimu watakayoipata hapa, lakini kubwa zaidi huu uwe muunganiko kati yao na kitengo chetu cha IPMO, endapo kuna mtu hajui kuwa kuna sera ya hati miliki ubunifu aijue na IPMO inafungua milango kwa yeyote yule kuja kupata msaada wakati wowote wanapokuwa na shida wasisite kututafuta wasisite kuomba msaada.
“Lakini pia tuna jukumu kubwa la kutoa elimu kwa walimu na wanafunzi waweze kujua kuwa kuna kitengo kama hiki cha ‘IPMO’ pia kuelimisha hiyo hati miliki ubunifu ni nini, waweze kujua jinsi gani tunafanya kazi na muelekeo wa hati miliki ubunifu kwa kuja kwenye ofisi zetu ili waweze kujua jinsi gani ya kulinda kazi zao.”amesema Dk. Mwenegoha na kuongeza kuwa.
“Mbali na hiyo tunapitia sheria ya hati miliki ubunifu, sisi tunayo lakini tunaipitia upya ili iweze kuwa sauti ya wafanyakazi wote wa UDSM, kwaiyo tutarudi tena kuchukua maoni yao kwa ajili ya mapitio ya sheria ya hati miliki ubunifu.
“Hii semina sio mara ya kwanza, hii ni mara ya pili, lakini tuliona baada ya ile ya kwanza tumebaini bado kuna vitu bado hawajashiba kile tunachohitaji kuwafikia, hivyo tunajenga hatua kwa hatua.
“Baada ya hii tutarudi tena hatua ya tatu, sio tu kuwafundisha lakini pia tutakuja kinadharia kuangalia kazi zao tutaweza kuwasaidia kuzichambua na kuzitambua ipi tuichukue moja kwa moja twende kuzipitia, tunaweza tukatoa ushauri kwa yule ambaye tunao anaweza kwenda muelekeo fulani ili kuendelea ubunifu zaidi.

No comments:
Post a Comment