HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 01, 2020

TFF YATAJA WAAMUZI PAMBANO LA SIMBA NA YANGA

Na Mwandishi Wetu

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza waamuzi watakaochezesha Darby ya Kaliakoo  mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC, pambano litakalo unguruma Januari 4, 2020 , Dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.

Mtanange huo unatarajiwa kulindima kuanzia majira ya saa 11:00 za jioni.

No comments:

Post a Comment

Pages