Beki wa Yanga, Said Makapu, akimiliki mpira huku
akizongwa na kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Idd Seleman, katika mchezo
wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam Juni 21, 2020. Timu hizo hazikufungana. (Picha zote kwa hisani ya Shaffih Dauda).
Mshambuliaji wa Azam FC, Richard Djodi, akiwatoka wachezaji wa Yanga
katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment