Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Gwaride la Heshma lililoandaliwa na Vikosi vya Jeshi la Polisi nchini mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma kwa ajili ya kuhutubia pamoja na kulifungua rasmi Bunge hilo la 12 leo tarehe 13 Novemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa ulipokuwa ukipigwa mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma kwa ajili ya kuhutubia pamoja na kulifungua rasmi Bunge hilo la 12 leo tarehe 13 Novemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameongozana na Spika wa Bunge Job Ndugai wakati akiingia ndani ya Bunge jijini Dodoma kwa ajili ya kuhutubia pamoja na kulifungua rasmi Bunge hilo la 12 leo tarehe 13 Novemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia pamoja na kulifungua rasmi Bunge hilo la 12 leo tarehe 13 Novemba 2020 jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kufungua Bunge la 12 leo tarehe 13 Novemba 2020 jijini Dodoma. Kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya kufungua Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo tarehe 13 Novemba, 2020. PICHA NA IKULU.
November 13, 2020
Home
Unlabelled
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JIJINI DODOMA
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JIJINI DODOMA
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment