HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 09, 2021

CRDB Bank Uwekezaji Day


Benki ya CRDB imeandaa Semina maalum ya Uwekezaji na Fedha inayotarajiwa kufanyika tarehe 17/04/2021 kuanzia saa 3 kamili asubuhi kupitia mtandao.

Katibu wa Benki, John Baptist Rugambo anaelezea zaidi kuhusu semina hiyo na faida zake kwa Watanzania wote.

Kujua jinsi ya kushiriki semina hiyo tafadhali endelea kufuatilia mitandao yetu ya kijamii au #NiulizeBusara.

Tanzania yenye maendeleo ya kweli itapatikana kwa watu wake kuwa na uwelewa mkubwa juu ya masuala ya uwekezaji na fedha. Karibuni mjumuike nasi!

#CRDBBank
#NiulizeBusara
#CRDBBankUwekezajiDay

No comments:

Post a Comment

Pages