HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 10, 2021

UTT AMIS YATOA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA TANROADS

  

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano (UTT AMIS), Daudi Mbaga akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wapya wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS juu ya Uwekezaji wa Pamoja  mkoani Morogoro.

 

Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wakisikiliza mada iliyokuwa ikitolewa juu ya Uwekezaji wa Pamoja  mkoani Morogoro.


No comments:

Post a Comment

Pages