HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 12, 2021

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AIPONGEZA PSSSF KUFANIKISHA MAONESHO YA MAKISATU

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Hati Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, CPA. Hosea Kashimba kwa kutambua mchango wa Mfuko wa  PSSSF katika kufanikisha maonesho ya Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yaliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, Mei 2021.

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya Pamoja na wadau waliofanikisha maonesho hayo.


 

No comments:

Post a Comment

Pages