Umati wa watu ukiwa katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa maarufu Sabasaba.
Afisa Masoko wa
Kampuni ya UTT AMIS, Ester Kahabi, akitoa maelezo juu ya fursa za
Uwekezaji wa Pamoja kwa mmoja wa watu waliofika katika banda la kampuni
hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Barabra ya Kilwa
jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya UTT AMIS, Abbas Kandila, akitoa maelezo juu ya fursa za Uwekezaji wa Pamoja kwa wananchi waliofika katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa maarufu Sabasaba katika banda la UTT AMIS lililopo ndani ya Banda kubwa la Wizara ya Fedha na Mipango wa jijini Dar es Salaam.
Afisa Uendeshaji na Maendeleo ya Biashara Kampuni ya UTT AMIS,
Pauline Kasilati, akitoa maelezo juu ya fursa za Uwekezaji wa Pamoja kwa
wananchi zinazopatikana banda la kampuni hiyo.
Afisa Mafunzo wa UTT
AMIS, Rebeca Renatus, akitoa maelezo juu ya fursa za Uwekezaji wa Pamoja
kwa mwananchi aliyefika katika banda la kampuni hiyo lililopo katika
Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika maonesho ya 45 ya Biashara ya
Kimataifa Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa Mafunzo wa UTT
AMIS, Rebeca Renatus, akitoa maelezo juu ya fursa za Uwekezaji wa Pamoja
kwa mwananchi aliyefika katika banda la kampuni hiyo lililopo katika
Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika maonesho ya 45 ya Biashara ya
Kimataifa Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa Uendeshaji na Maendeleo ya Biashara Kampuni ya UTT AMIS,
Pauline Kasilati, akitoa maelezo juu ya fursa za Uwekezaji wa Pamoja kwa
wananchi zinazopatikana banda la kampuni hiyo.
Afisa Masoko wa
Kampuni ya UTT AMIS, Ester Kahabi, akitoa maelezo juu ya fursa za
Uwekezaji wa Pamoja kwa mmoja wa watu waliofika katika banda la kampuni
hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Barabra ya Kilwa
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment