Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipiga ngoma aliyokabidhiwa na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye kama zawadi Ikulu Bujumbura Burundi leo Julai 16,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste
Ndayishimiye pamoja na Mkewe baada ya kuhudhuria Dhifa ya Jioni iliyoandaliwa
na Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi
Ikulu Bujumbura Burundi leo Julai 16,2021.
11-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste
Ndayishimiye, wakishuhudia utiaji saini hati 8 za makubaliano kati ya Nchi
mbili hizi leo Julai 16,2021.
11-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, wakishuhudia utiaji saini hati 8 za makubaliano kati ya Nchi mbili hizi leo Julai 16,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akitembelea Tawi la Jipya la Banki ya CRDB Bujumbura Nchini Burundi wakati alipokuwa
katika ziara ya kitaifa Nchini humo leo Julai 16,2021.
No comments:
Post a Comment