#Watakuwepo nchini kwa siku 7
#Kundi la awali la watalii 150 kutoka Israel wamaliza salama utalii wao nchini
#Wafurahi mapokezi yaliyoandaliwa kwa ajili yao
# Makundi mengi zaidi kuwasili wiki ijayo
#Wasema Tanzania imebarikiwa vya kutosha
#Wengi waahidi kurudi tena
#Wasifu hatua zilizopo za tahadhari dhidi ya UVIKO 19
No comments:
Post a Comment