Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga, akitoa mada juu ya Uwekezaji wa Pamoja na faida zake kwa wastaafu katika semina ya wastaafu iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSSSF jijini Morogoro Julai 2, 2021.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi kuhusu fursa zilizopo katika mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja.
No comments:
Post a Comment