HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 27, 2021

BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO MKUU CHAMA CHA WAMILIKI WA SHULE BINAFSI TANZANIA 2021


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akitoa hotuba yake wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Tatu wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi Tanzania (TAPIE) jijini Dar es Salaam leo Oktoba 27, 2021.
Wajumbe wa mkutano huo wakimsiliza mgeni rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulamajid Nsekela.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa TAPIE wakisikiliza hotuba ya mgeni  rasmi.
Katibu Mkuu wa TAPIE, Albert Katagira
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi Tanzania (TAPIE), Mahmoud  Mringo akizungumza katka Mkutano Mkuu  wa Tatu wa Chama cha wamiliki wa Shue Binafsi Tanzania (TAPIE) jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha CRDB Wakala, Eric Willy, akitoa mada katika mkutano Mkuu wa Mwaka wa TAPIE.

Wajumbe wakisikiliza mada kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha CRDB Wakala, Eric Willy.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akipokea zawadi ya keki kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi Tanzania (TAPIE), Mahmoud Mringo wakati Mkurano Mkuu wa Mwaka wa chama hicho. Kushoto ni Katibu Mkuu wa TAPIE, Albert Katagir.


No comments:

Post a Comment

Pages