HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 12, 2021

WAZIRI NCHEMBA AELEZEA MAFANIKIO YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KATIKA YA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwiguru Nchemba, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kuhusu miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Hatua mbalimbali ilizochukua wizara hiyo kuwafikishia maji sehemu zao tangu kupatikana kwa uhuru hadi leo.


Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwiguru Nchemba, akiagana na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuzungumza nao.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)  Ummy Mwalimu (katikati), akivalishwa kanga na umoja wa wanawake toka Tanga walipowatembelea wabunge wao bungeni.


Waziri MKuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Makete Festo Sanga, kabla ya kuanza kikao cha bunge leo.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa(JKT),Dkt. Stergomena Lawrence Tax na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mwita Waitara, Mazungumzo hayo yalifanyika wakati wakiwasili ukumbini leo.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akijibu maswali ya wabunge ya papo kwa hapo ikiwa ni kila Alhamisihuulizwa mswali na wabunge na yeye kuyajibu.

Maafisa wa Benki ya Stanbic wakitambulishwa bungeni na Spika Job Ndugai ,maofisa hao walilitembelea bunge leo na kuonana na wabunge wakiongozwa na Mkuu wa Idara ya Wateja wakubwa na wakati Omar Mtiga (wapili toka kulia).





No comments:

Post a Comment

Pages