HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 13, 2021

MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA JIJINI DODOMA

 

Waziri wa Nchi (TAMISEMI), Ummy Mwalimu akifungua semina ya Kujengea Uelewa kwa Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi iliyofanyika jijini Dodoma leo. (Picha na Deus Mhagale).



Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza katika semina ya kuwajengea uelewa wakuu wa Mikoa Kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Zainab Chaula akizungumza katika mafunzo hayo.

Mwenyekiti wa Wakuu wa Mikoa tanzania Bara, akizungumza katika mafunzo hayo.

Wakuu wa mikoa wakifuatilia mafunzo hayo kutoka kwa wakufunzi.

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul, akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya miaka 60 ya Tanzania Bara tangu ijipatie uhuru, nini kimefanyika katika nyanja hizo kwa wananchi. Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages