HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 28, 2022

WADAU MBALIMBALI WASHAURIWA KUJIUNGA NA KILI MARATHON


Mkuu wa Biashara wa  Kampuni ya saruji  Tanga Cement (TCPLC) ,  BW Peet Brits, akigawa maji kwa mmoja wawashiriki wa mbio za kilimanjaro marathon ambapo kampuni hiyo imetumia zaidi ya shilingi milioni 36 kudhamini vituo vya maji na kupoozea wakimbiaji pamoja na baadhi ya wafanyakazi wake kushiriki mbio hizo. 

Mhazini wa Kampuni ya saruji  Tanga Cement (TCPLC),  Frederick Emmanuel akigawa maji kwa mmoja wawashiriki wa mbio za kilimanjaro marathon ambapo kampuni hiyo imetumia zaidi ya shilingi milioni 36 kudhamini vituo vya maji na kupoozea wakimbiaji pamoja na baadhi ya wafanyakazi wake kushiriki mbio hizo.
Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya saruji  Tanga Cement (TCPLC),  wakishiriki mbio za km 21 wakati wa mbio za killimarathon ambapo Kampuni Hiyo imetumia zaidi ya shilingi milioni 36 kudhamini vituo vya maji na kupoozea wakimbiaji pamoja na baadhi ya wafanyakazi wake kushiriki mbio hizo. 
Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Bi. Mtanga Noor (kulia), kigawa maji kwa mmoja wawashiriki wa mbio za kilimanjaro marathon ambapo kampuni hiyo imetumia zaidi ya shilingi milioni 36 kudhamini vituo vya maji na kupoozea wakimbiaji pamoja na baadhi ya wafanyakazi wake kushiriki mbio hizo. 
Mkuu wa Rasilimali watu   wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Diana Malambugi (katikati), akigawa maji kwa mmoja wawashiriki wa mbio za kilimanjaro marathon ambapo kampuni hiyo imetumia zaidi ya shilingi milioni 36 kudhamini vituo vya maji na kupoozea wakimbiaji pamoja na baadhi ya wafanyakazi wake kushiriki mbio hizo.

No comments:

Post a Comment

Pages