Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa Rainer Lukala (aliyevaa kofia) akiwasili katika shule ya sekondari Sintali wilaya ya Nkasi kukagua mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa matatu . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti (aliyevaa suti) na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Peter Lijuakali.
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Dkt. Benjamin Chota (kulia) akitoa maelezo kwa wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Rukwa wakati walipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Kasu wilaya ya Nkasi leo.
No comments:
Post a Comment