Katibu mstaafu
wa Chama cha Walimu Wilaya ya Ilala, Elizabeth Thomas ambaye alikuwa mgeni
rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambapo zaidi ya
walimu 200 pamoja na wafanyakazi wa MCB kutoka mkoa wa Dar es Salaam walijumuika pamoja katika
kusherehekea siku hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Ukuzaji Biashara na Masoko wa Benki ya Walimu Tanzania (MCB), Leticia Ndongole akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na benki hiyo na kuwakutanisha zaidi ya walimu 200.
Baadhi ya walimu wakiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
Meneja Biashara wa Benki ya MCB, Sabina Mwakasungura, akitoa mada katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyowakutanisha walimu zaidi ya 200 na pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment