HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 06, 2022

RAIS SAMIA AZINDUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA CRDB DAR

Muonekano wa jengo la kisasa la Makao Makuu ya Benki ya CRDB lililozinduliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Machi 5, 2022 jijini Dar es Salaam. Picha na Habari Mseto).

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi wengine Wakuu wa CRDB pamoja na Serikali akiminya kitufe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya CRDB lililopo Palm Beach, Mkabala na Barabara ya Ali Hassan Mwinyi Jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu akiwa pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB pamoja na viongozi wengine wa Serikali katika ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Benki ya CRDB yaliyopo pembezoni mwa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi Jijini Dar es Salaam.

Wageni waalikwa wakiwa katika uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya Benki ya CRDB.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa CRDB mara baada ya kuzindua jengo la Makao Makuu ya Benki ya CRDB yaliyopo pembezoni mwa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi Jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu akiagana na viongozi mbalimbali wa Benki ya CRDB mara baada ya kuzungumza nao katika viwanja vya Agha Khan Jijini Dar es Salaam.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Shally Raymond (katikati) akiwa na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Oysterbay, Clementina Kinabo (kushoto) na Meneja wa tawi la Holland House, John Almasy wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya CRDB. 
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Magomeni, Aisha Ramadhani (katikati) akiwa na Meneja wa tawi la Lumumba, Juliana Mhimbira.
Ofisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo (katikati) akimsilikza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages