RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Austria Mhe.Celestine Mushy alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuaga akielekea Kituo chake kazi alichopangiwa, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu).

No comments:
Post a Comment