HABARI MSETO (HEADER)


 


Breaking

July 26, 2022

CRDB yashiriki kongamano la 9 la Afrikan Islamic Banking and Takaful Summit


 
Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Mohammad Saleem (kushoto), akimkabidhi tuzo ya "Best Islamic Banking services for driving financial inclusion", Mkuu wa Kitengo cha CRDB Al-Barakah Banking, Rashid Rashid, katika kongamano la 9 la African Islamic Banking and Takaful Summit lililofanyika jijini Dar es Salaam leo Julai 26, 2022. Kongamano hilo liliwakutanisha wadau wa sekta ya fedha pamoja na bima kutoka nchi mbalimbali barani Afrika.
 
Mkuu wa Kitengo cha CRDB Al-Barakah Banking, Rashid Rashid, akitoa mada katika kongamano la 9 la African Islamic Banking and Takaful Summit lililofanyika jijini Dar es Salaam leo Julai 26, 2022. 

 

No comments:

Post a Comment

Pages