Rais Samia
Suluhu Hassan akiwasili kwenye Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma kwa
ajili ya kushiriki Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa. (PICHA NA IKULU).
Rais Samia Suluhu Hassan akiweka silaha za jadi (Ngao na Mkuki) kwenye mnara wa Mashujaa kuadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika leo Jijini Dodoma.
Muwakilishi wa Tanzania Legend Mzee Omari Mhando Shangali (102) akiwa katika viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma kuadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa leo Julai 25, 2022.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi kwenye Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma.








No comments:
Post a Comment