HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 22, 2023

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aswali Swala ya Eid El-Fitri pamoja na Waumini wengine wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA Kinondoni Jijini Dar es Salaam



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023.

No comments:

Post a Comment

Pages