HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 26, 2023

Rais Samia, Rais Yoweri Museveni wazindua Mradi wa Kufua Umeme wa Kikagati – Murongo, Mbarara nchini Uganda

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wazindua Mradi wa Kufua Umeme wa Kikagati – Murongo, Mbarara nchini Uganda.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Uganda mara baada ya uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Kikagati - Murongo, Mbarara nchini humo tarehe 25 Mei, 2023.





 

No comments:

Post a Comment

Pages