HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 19, 2023

Awamu ya Pili Kambi ya Mafunzo kwa washiriki wa Programu ya Imbeju yaanza Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Eshter Mwambapa, akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Kambi ya mafunzo kwa washiriki wa Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju inayolenga kutoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake inayoendelea jijini Dar es Salaam leo Juni 19, 2023.

Afisa Mkuu Tanzania Startup Association  (TSA), Zahoro Mhaji, akitoa mada kwa waanzilishi wa kampuni binafsi (Start-Ups) wanaoshiriki Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju inayolenga kutoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake inayoendelea makao makuu ya zamani ya Benki ya CRDB Azikiwe jijini Dar es Salaam.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Winnie Nguni, akitoa mada kwa waanzilishi wa kampuni binafsi (Start-Ups) wanaoshiriki Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju inayolenga kutoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake inayoendelea makao makuu ya zamani ya Benki ya CRDB Azikiwe jijini Dar es Salaam.

Lillian Mageje akitoa mada kwa waanzilishi wa kampuni binafsi (Start-Ups) wanaoshiriki Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju inayolenga kutoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake inayoendelea makao makuu ya zamani ya Benki ya CRDB Azikiwe jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki.



Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages