HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 29, 2023

Programu ya CookFund yapata udhamini wa Euro milioni 17 kutoka EU

 

Mtaalamu Mwandamizi wa Fedha kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Mitaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UNCDF) na Meneja wa Programu ya CookFund, Immanuel Muro (kulia), akifafanua jambo kuhusu programu hiyo yenye udhamini wa Euro milioni 17 kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kwa wakuu wa programu wa umoja huo,  jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Wengine ni Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Manfredo Fanti (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Nishati wa EU, Massimiliano Pedretti.

No comments:

Post a Comment

Pages