HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 03, 2023

MTANZANIA KWENYE FAINALI YA CAF CHAMPIONS LEAGUE


Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Kigoma (KRFA)  MSAFIRI AHMED MGOIY ameteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuwa Kamishina wa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa kati ya Ahly na Wydad pale Cairo.

No comments:

Post a Comment

Pages