HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 16, 2023

Wabunifu Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju wapata mafunzo kuhusu biashara

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)

Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa, akizungumza na wabunifu waliochaguliwa kwenye Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju inayolenga kutoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake.

 Mwenyekiti wa CRDB Bank Foundation, Martin Warioba, akizungumza na wabunifu waliochaguliwa kwenye Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju inayolenga kutoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake.
Msaidizi wa Usajili Mwandamizi Brela, Nassoro Mtavu, akitoa mada katika mafunzo ya wabunifu waliochaguliwa kwenye Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju. 
Afisa Leseni Brela, Abas Cothema akitoa mada juu ya kusajili biashara.

Mshiriki akiuliza swali.

Afisa wa TRA akitoa mada kuhusu masuala mbalimbali ya kodi kwa baadhi ya wabunifu waliochaguliwa kwenye Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju inayolenga kutoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake.
Francis Omorojie.

Mshiriki akiuliza swali.

Wakili Fatma Songoro kampuni ya Uwakili ya Victory Attorneys & Conswtants, akitoa mada.

  Dk. Erasto Mlukya kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH).

 

No comments:

Post a Comment

Pages