HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 21, 2023

Washiriki Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju waendelea na mafunzo


 Grayson Julius kutoka Founding Partner at IPF Softwares Founding Partner & Business Development Lead, akitoa mada Dar es Salaam Juni 21, 2023 kwa baadhi ya wabunifu waliochaguliwa kwenye Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju inayolenga kutoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake.

Afisa Mwandamizi wa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Fredy Mweisiga, akitoa mada kuhusu elimu ya masuala mbalimbali ya kodi
kwa washiriki wa mafunzo ya Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju yanayoendelea jijini Dar es Salaam inayolenga kutoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake. 
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Essence Creative, Joseph Singano, akitoa elimu ya namna ya kupanga bei ya bidhaa na kuingiza bidhaa sokoni kwa washiriki wa mafunzo ya Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
 
 Mkurugenzi Mkuu Kampuni ya Bima Benki ya CRDB, Wilson Mnzava, akitoa mada kuhusu masuala ya Bima.
 

Washiriki wa mafunzo hayo wakiuliza maswali. 


Afisa Uratibu, Utafiti Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH), Emmanuel Girimwa akitoa mada kuhusu umuhimu wa hataza (Intellectual Propety Right) pamoja na utunzaji wa siri za biashara (Trade Secret) kwa baadhi ya wabunifu waliochaguliwa kwenye Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju inayolenga kutoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake.



No comments:

Post a Comment

Pages