HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 01, 2023

MBOMBO AONGEZA KANDARASI CHAMAZI

Na John Richard Marwa

Klabu ya Matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC imemukngezea kandarasi ya mwaka mmoja kuendelea kusalia viunga vya Chamazi Complex.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Azam FC jioni ya leo katika kurasa zao za mitandao ya kijamii imeeleza kuwa Mbombo ataendelea kusalia viunga vya Azam kwa msimu ujao wa 2023/24.

""Mshambuliaji wetu mahiri, Idris Mbombo, ataendelea kusalia viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2024, baada ya kuongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja.   

"Mbombo ni mmoja wa washambuliaji bora kwenye ligi yetu (NBC PL) kwenye misimu miwili iliyopita akiwa amefunga jumla ya mabao 17." Imeeleza taarifa hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages